Agano la Kale

Agano Jipya

Danieli 2:40 Biblia Habari Njema (BHN)

Baada ya falme hizo, utafuata ufalme mwingine imara kama chuma. Na kama vile chuma kivunjavyo na kupondaponda vitu vyote, ndivyo ufalme huo utakavyovunjavunja na kusagilia mbali falme zilizotangulia.

Kusoma sura kamili Danieli 2

Mtazamo Danieli 2:40 katika mazingira