Agano la Kale

Agano Jipya

Amosi 6:12-14 Biblia Habari Njema (BHN)

12. Je, farasi waweza kupiga mbio miambani?Je, watu huilima bahari kwa ng'ombe?Lakini nyinyi mmeigeuza haki kuwa sumu,na tunda la uadilifu kuwa uchungu.

13. Nyinyi mnashangilia juu ya Lodebari,na kusema mmeuteka Karnaimu kwa nguvu zenu wenyewe.

14. Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema hivi:“Enyi Waisraeli,kweli nitaleta taifa moja lije kuwashambulia,nalo litawatesa nyinyi kuanzia Lebo-hamathi kaskazini,hadi kijito cha Araba, upande wa kusini.”

Kusoma sura kamili Amosi 6