Agano la Kale

Agano Jipya

2 Wafalme 5:16 Biblia Habari Njema (BHN)

Elisha akajibu, “Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai ambaye ninamtumikia, kwamba sitapokea zawadi yoyote.”Naamani akamsihi, lakini Elisha akakataa kabisa.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 5

Mtazamo 2 Wafalme 5:16 katika mazingira