Agano la Kale

Agano Jipya

2 Wafalme 5:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, Naamani akateremka mtoni Yordani akajitumbukiza humo mara saba, kama alivyoagizwa na Elisha mtu wa Mungu, naye akapona kabisa. Ngozi yake ikawa imara na yenye afya kama ya mtoto mdogo.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 5

Mtazamo 2 Wafalme 5:14 katika mazingira