Agano la Kale

Agano Jipya

2 Wafalme 17:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)

1. Katika mwaka wa kumi na mbili wa enzi ya mfalme Ahazi wa Yuda, Hoshea mwana wa Ela alianza kutawala Israeli, akatawala huko Samaria kwa miaka tisa.

2. Alitenda dhambi mbele ya Mwenyezi-Mungu ingawa siyo kama wafalme wa Israeli waliomtangulia.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 17