Agano la Kale

Agano Jipya

2 Samueli 2:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Baada ya mambo haya, Daudi alimwomba Mwenyezi-Mungu shauri, akasema, “Je, niende kwenye mji mmojawapo wa miji ya Yuda?” Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Nenda!” Daudi akamwuliza, “Niende mji upi?” Mwenyezi-Mungu akamjibu, “Nenda kwenye mji wa Hebroni.”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 2

Mtazamo 2 Samueli 2:1 katika mazingira