Agano la Kale

Agano Jipya

2 Mambo Ya Nyakati 6:40-42 Biblia Habari Njema (BHN)

40. “Sasa ee Mungu wangu, tuangalie na upokee maombi tutakayoomba mahali hapa.

41. Sasa inuka ee Bwana Mungu,uingie mahali pako pa kupumzikawewe pamoja na sanduku la agano la nguvu zako.Makuhani wako ee Bwana Mungu, wapate wokovu,na watakatifu wako wafurahie wema wako.

42. Ee Bwana Mungu, usimpige kisogo masiha wako.Kumbuka fadhili zako kwa mtumishi wako Daudi.”

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 6