Agano la Kale

Agano Jipya

2 Mambo Ya Nyakati 34:21 Biblia Habari Njema (BHN)

“Nendeni mkatafute shauri kutoka kwa Mwenyezi-Mungu kwa niaba yangu na watu ambao wamebaki katika Israeli na Yuda, kuhusu maneno yaliyomo katika kitabu kilichopatikana. Kwa sababu ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu imetuangukia, maana babu zetu hawakushika neno la Mwenyezi-Mungu, wala kufanya yaliyoandikwa humo.”

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 34

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 34:21 katika mazingira