Agano la Kale

Agano Jipya

2 Mambo Ya Nyakati 32:26 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa hiyo ghadhabu ikawa juu yake, juu ya Yuda na juu ya Yerusalemu. Hatimaye Hezekia alinyenyekea akaacha kuwa na moyo uliojaa majivuno; yeye na wakazi wa Yerusalemu walijinyenyekesha kwa hiyo ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu haikuwajia wakati Hezekia alipokuwa hai.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 32

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 32:26 katika mazingira