Agano la Kale

Agano Jipya

2 Mambo Ya Nyakati 3:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Tena, alipatengeneza mahali patakatifu sana. Urefu wake ulikuwa mita 9, sawasawa na upana wake ambao pia ulikuwa mita 9. Alitumia zaidi ya tani 20 za dhahabu kukifunika chumba hicho.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 3

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 3:8 katika mazingira