Agano la Kale

Agano Jipya

2 Mambo Ya Nyakati 3:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha Solomoni alianza kujenga nyumba ya Mwenyezi-Mungu katika Yerusalemu juu ya mlima Moria ambapo Mwenyezi-Mungu alimtokea Daudi baba yake, mahali ambapo Daudi alikuwa amepachagua, kwenye kiwanja cha kupuria cha Ornani Myebusi.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 3

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 3:1 katika mazingira