Agano la Kale

Agano Jipya

2 Mambo Ya Nyakati 24:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Mfalme Yoashi aliyasahau mema yote aliyotendewa na Yehoyada, baba yake Zekaria, akamuua mwanawe. Alipokuwa anakufa, alisema, “Mwenyezi-Mungu na ayaone matendo yenu, akalipize kisasi.”

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 24

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 24:22 katika mazingira