Agano la Kale

Agano Jipya

2 Mambo Ya Nyakati 24:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Ndipo Roho ya Mungu ikamjia Zekaria mwana wa kuhani Yehoyada, naye akasimama mbele ya watu mahali palipokuwa juu kidogo, akawaambia, “Mwenyezi-Mungu aliwaulizeni kwa nini mnazivunja amri zake na sasa hamwezi kufanikiwa! Kwa vile mmemwacha, naye pia amewaacha!”

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 24

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 24:20 katika mazingira