Agano la Kale

Agano Jipya

2 Mambo Ya Nyakati 24:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Walawi walipopeleka sanduku hilo kwa maofisa wa mfalme, nao walipoona kuwa kuna kiasi kikubwa cha fedha ndani, katibu wa mfalme pamoja na mwakilishi wa kuhani mkuu, walizitoa sandukuni, kisha wakalirudisha mahali pake. Waliendelea kufanya hivyo kila siku, wakakusanya fedha nyingi.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 24

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 24:11 katika mazingira