Agano la Kale

Agano Jipya

2 Mambo Ya Nyakati 22:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini hiyo ilikuwa imepangwa na Mungu kuwa maangamizi yampate Ahazia kwa njia hiyo ya kumtembelea Yoramu. Maana alipofika huko, alitoka pamoja na Yoramu kwenda kupigana na Yehu mwana wa Nimshi ambaye Mwenyezi-Mungu alimteua kuuangamiza uzao wa Ahabu.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 22

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 22:7 katika mazingira