Agano la Kale

Agano Jipya

2 Mambo Ya Nyakati 18:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakati huo, yule mjumbe aliyetumwa kwa Mikaya alimwambia, “Manabii wengine wote kwa pamoja wamemtabiria mfalme ushindi; tafadhali nawe pia ufanye kama wao, umtabirie mema.”

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 18

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 18:12 katika mazingira