Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 9:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Watu wengine watajibu, ‘Ni kwa sababu walimwacha Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, aliyewatoa babu zao katika nchi ya Misri, wakashikamana na miungu mingine, wakaiabudu na kuitumikia; kwa hiyo, Mwenyezi-Mungu amewaletea maafa haya yote.’”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 9

Mtazamo 1 Wafalme 9:9 katika mazingira