Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 9:7 Biblia Habari Njema (BHN)

basi, nitawahamisha watu wangu, Israeli, kutoka nchi hii ambayo nimewapa; kadhalika na nyumba hii ambayo nimeiweka wakfu kwa ajili ya jina langu, nitaitupilia mbali nami, na kuifanya kitu cha kupuuzwa na kudharauliwa miongoni mwa mataifa yote.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 9

Mtazamo 1 Wafalme 9:7 katika mazingira