Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 9:16 Biblia Habari Njema (BHN)

(Gezeri ndio mji ambao Farao, mfalme wa Misri, alikuwa ameuteka, akauchoma moto na kuwaua Wakanaani, wakazi wake. Baadaye, binti Farao alipoolewa na Solomoni, mfalme wa Misri alimpa binti yake mji huo wa Gezeri uwe zawadi ya harusi.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 9

Mtazamo 1 Wafalme 9:16 katika mazingira