Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 9:11 Biblia Habari Njema (BHN)

mfalme Solomoni alimpa Hiramu mfalme wa Tiro, miji ishirini katika mkoa wa Galilaya (kwa sababu huyo Hiramu alikuwa amempelekea Solomoni mbao za mierezi na miberoshi, na dhahabu pia, kadiri alivyohitaji kwa ujenzi).

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 9

Mtazamo 1 Wafalme 9:11 katika mazingira