Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 8:66 Biblia Habari Njema (BHN)

Katika siku ya nane, Solomoni aliwaaga watu; nao wakamtakia baraka mfalme, wakaenda kwao wakishangilia na kufurahi kwa sababu ya wema ambao Mwenyezi-Mungu aliuonesha kwa Daudi, mtumishi wake, na kwa watu wake Israeli

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 8

Mtazamo 1 Wafalme 8:66 katika mazingira