Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 8:32 Biblia Habari Njema (BHN)

tafadhali wewe usikie kutoka huko mbinguni, uchukue hatua na kuwahukumu watumishi wako. Aliye na hatia umwadhibu kadiri ya makosa yake, asiye na hatia umwachilie na kumpatia tuzo kadiri ya uadilifu wake.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 8

Mtazamo 1 Wafalme 8:32 katika mazingira