Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 8:23 Biblia Habari Njema (BHN)

akasema, “Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, hakuna Mungu mwingine kama wewe, juu mbinguni, ama chini duniani! Wewe u mwaminifu, kwani umetimiza agano lako na kuwaonesha fadhili zako watumishi wako wanaoishi wakikutii kwa moyo wao wote.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 8

Mtazamo 1 Wafalme 8:23 katika mazingira