Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 8:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, mfalme Solomoni akawakutanisha mbele yake huko Yerusalemu wazee na viongozi wote wa makabila na wa koo za Israeli ili waliondoe sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu katika mji wa Daudi, yaani Siyoni.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 8

Mtazamo 1 Wafalme 8:1 katika mazingira