Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 7:40 Biblia Habari Njema (BHN)

Hiramu alitengeneza pia vyungu, sepetu na mabirika. Basi, Hiramu akamaliza kazi aliyoamriwa na mfalme Solomoni kuhusu nyumba ya Mwenyezi-Mungu:

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 7

Mtazamo 1 Wafalme 7:40 katika mazingira