Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 7:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Ua wa nyumba ya mfalme ulikuwa na kuta zenye safu moja ya mbao za mierezi na safu tatu za mawe ya kuchongwa kila moja; ndivyo ilivyokuwa hata kwa ua wa ndani wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu na kwa ukumbi wa nyumba.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 7

Mtazamo 1 Wafalme 7:12 katika mazingira