Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 6:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Solomoni aliipamba kwa dhahabu safi sehemu ya ndani ya nyumba, na mbele ya hicho chumba cha ndani akaweka minyororo ya dhahabu kutoka upande mmoja mpaka upande wa pili, aliipamba kwa dhahabu.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 6

Mtazamo 1 Wafalme 6:21 katika mazingira