Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 4:25 Biblia Habari Njema (BHN)

Siku zote za utawala wake Solomoni, watu wa Yuda na watu wa Israeli, toka Dani mpaka Beer-sheba, walikaa salama, kila mtu kwenye miti yake ya mizabibu na mitini.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 4

Mtazamo 1 Wafalme 4:25 katika mazingira