Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 4:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Solomoni alitawala falme zote kuanzia mto Eufrate mpaka nchi ya Wafilisti, hadi mpakani na Misri. Mataifa yote yalimtumikia na kulipa kodi kwake wakati wote wa maisha yake.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 4

Mtazamo 1 Wafalme 4:21 katika mazingira