Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 3:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa hiyo, nakuomba unipe mimi mtumishi wako moyo wa kusikia ili kuamua watu wako, niweze kutambua mema na mabaya; maana ni nani awezaye kuhukumu watu wako walio wengi hivi?”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 3

Mtazamo 1 Wafalme 3:9 katika mazingira