Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 3:23 Biblia Habari Njema (BHN)

Ndipo mfalme Solomoni akasema, “Kila mmoja wenu anadai kwamba, mtoto wake ndiye aliye hai na kwamba aliyekufa si wake.”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 3

Mtazamo 1 Wafalme 3:23 katika mazingira