Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 3:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Mmoja wao akasema, “Ee bwana wangu, mimi na huyu mwenzangu tunakaa nyumba moja; mimi nilijifungua mtoto wakati huyu dada yumo nyumbani.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 3

Mtazamo 1 Wafalme 3:17 katika mazingira