Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 22:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu akamwuliza, ‘Kwa mbinu gani?’ Naye akajibu, ‘Nitakwenda na kuwafanya manabii wake wote waseme uongo.’ Mwenyezi-Mungu akamwambia, ‘Wewe utamshawishi na utafaulu; haya, nenda ukafanye hivyo.’

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 22

Mtazamo 1 Wafalme 22:22 katika mazingira