Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 21:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Naye akamwambia, “Kwa sababu nilizungumza na Nabothi, mwenyeji wa Yezreeli, nikamtaka aniuzie shamba lake la mizabibu, ama akipenda nimpe shamba lingine badala ya hilo. Lakini yeye akaniambia, ‘Sitakupa shamba langu la mizabibu.’”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 21

Mtazamo 1 Wafalme 21:6 katika mazingira