Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 20:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Ndipo Ahabu mfalme wa Israeli, akawaita viongozi wote wa nchi, akawaambia, “Sasa, oneni jinsi jamaa huyu anavyotaka kututaabisha! Ametuma ujumbe kwamba anataka wake zangu, watoto wangu, dhahabu na fedha yangu. Nami sikumkatalia!”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 20

Mtazamo 1 Wafalme 20:7 katika mazingira