Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 20:36 Biblia Habari Njema (BHN)

Naye akamwambia, “Kwa kuwa umekataa kutii amri ya Mwenyezi-Mungu, basi, mara tu utakapoachana nami, simba atakuua.” Na kweli, mara tu alipoachana naye, akakutana na simba, akamuua.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 20

Mtazamo 1 Wafalme 20:36 katika mazingira