Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 20:25 Biblia Habari Njema (BHN)

Unda jeshi kama lilelile ulilopoteza, farasi na magari ya kukokotwa kama yale uliyopoteza. Kisha, tutapigana nao mahali tambarare na bila shaka tutawazidi nguvu.” Mfalme Ben-hadadi akasikia ushauri wao, akafanya hivyo.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 20

Mtazamo 1 Wafalme 20:25 katika mazingira