Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 20:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Kila mmoja wao akamuua adui mmoja. Watu wa Aramu wakatimua mbio, nao askari wa Israeli wakawafuatilia; lakini Ben-hadadi, mfalme wa Aramu, akiwa amepanda farasi, akatoroka na baadhi ya askari wapandafarasi.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 20

Mtazamo 1 Wafalme 20:20 katika mazingira