Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 2:30 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, Benaya akaenda katika hema la Mungu, akamwambia Yoabu, “Mfalme ameamuru utoke nje.” Yoabu akajibu, “Mimi sitoki; nitakufa papa hapa.” Benaya akarudi kwa mfalme na kumweleza alivyojibu Yoabu.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 2

Mtazamo 1 Wafalme 2:30 katika mazingira