Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 19:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Naye akasema, “Naona uchungu na wivu, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa majeshi, kwa sababu watu wa Israeli wamevunja agano lako, wakazibomoa madhabahu zako na kuwaua manabii wako kwa upanga; ni mimi tu niliyebaki, nami pia wananiwinda waniue!”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 19

Mtazamo 1 Wafalme 19:14 katika mazingira