Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 18:45 Biblia Habari Njema (BHN)

Muda haukupita mrefu mbingu zikatanda mawingu mazito, upepo ukavuma, pakanyesha mvua kubwa. Ahabu naye akapanda gari lake la kukokotwa, akarudi Yezreeli.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 18

Mtazamo 1 Wafalme 18:45 katika mazingira