Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 16:24 Biblia Habari Njema (BHN)

Alinunua mlima wa Samaria kwa vipande 6,000 vya fedha kutoka kwa mtu mmoja aitwaye Shemeri, akajenga ngome juu yake, na mji. Mji wenyewe akauita Samaria, kwa heshima ya Shemeri aliyeumiliki mlima huo hapo awali.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 16

Mtazamo 1 Wafalme 16:24 katika mazingira