Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 16:2 Biblia Habari Njema (BHN)

“Wewe Baasha, mimi nilikuinua kutoka mavumbini, nikakufanya kiongozi wa watu wangu Israeli. Wewe umemwiga Yeroboamu, ukawafanya watu wangu Israeli watende dhambi na kunikasirisha kwa dhambi zao.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 16

Mtazamo 1 Wafalme 16:2 katika mazingira