Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 15:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Ndipo mfalme Asa alipotoa tangazo kwa watu wote wa Yuda, bila kumwacha hata mtu mmoja, wahamishe mawe ya Rama na mbao, vifaa ambavyo Baasha alivitumia kujengea. Kisha mfalme Asa alitumia vifaa hivyo kujengea Geba, katika Benyamini na Mizpa.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 15

Mtazamo 1 Wafalme 15:22 katika mazingira