Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 14:24 Biblia Habari Njema (BHN)

Tena, kukawa na ibada za ukahaba nchini; watu walitenda matendo ya kuchukiza ya mataifa ambayo Mungu aliyafukuza Waisraeli walipokuwa wanaingia nchini Kanaani.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 14

Mtazamo 1 Wafalme 14:24 katika mazingira