Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 12:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Baadaye Rehoboamu alitaka kujua maoni ya wazee ambao walikuwa washauri wa baba yake Solomoni, alipokuwa angali hai, akawauliza, “Je, mnanishauri niwape jibu gani watu hawa?”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 12

Mtazamo 1 Wafalme 12:6 katika mazingira