Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 12:33 Biblia Habari Njema (BHN)

Siku hiyo ya kumi na tano ya mwezi wa nane, aliibuni yeye mwenyewe, naye akaenda Betheli kutambikia. Ndivyo alivyoiimarisha sikukuu hiyo aliyoiweka kwa ajili ya watu wa Israeli, naye mwenyewe akapanda kuiendea madhabahu, kufukiza ubani.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 12

Mtazamo 1 Wafalme 12:33 katika mazingira