Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 12:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Hao vijana wakamjibu, “Watu hao waliokuambia baba yako aliwatwika mzigo mzito, wakakuomba uwapunguzie mzigo huo, wewe waambie hivi: ‘Kidole changu kidogo ni kinene zaidi kuliko kiuno cha baba yangu.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 12

Mtazamo 1 Wafalme 12:10 katika mazingira