Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 1:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini baba yake, Daudi, hakuwa amemkemea mwanawe hata mara moja na kumwuliza kwa nini alikuwa amefanya hivyo. Adoniya, ama kwa hakika, alikuwa mwenye sura ya kupendeza sana; na alikuwa amemfuata Absalomu kwa kuzaliwa.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 1

Mtazamo 1 Wafalme 1:6 katika mazingira