Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 1:47 Biblia Habari Njema (BHN)

Zaidi ya hayo, watumishi wa mfalme walikuja kumpongeza bwana wetu mfalme Daudi wakisema, ‘Mungu wako alifanye jina la Solomoni kuwa maarufu kuliko lako; pia akikuze kiti chake cha enzi kuliko kiti chako.’ Halafu mfalme akainama kitandani,

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 1

Mtazamo 1 Wafalme 1:47 katika mazingira